Posted on: July 26th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenani Laban Kihongosi, ameweka jiwe la Msingi katika mradi wa ujenzi wa bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Manyara, iliyoko wilayani Monduli, Mradi huo unatekel...
Posted on: July 24th, 2025
Viongozi wa kimila ni nguzo muhimu katika jamii na mnapaswa kuwa sehemu ya utatuzi wa migogoro badala ya kuwa chanzo cha migogoro, ili kudumisha amani na kuleta Maendeleo endelevu katika Jamii.
...
Posted on: July 21st, 2025
Kikao cha Kamati Mseto ya Lishe Wilaya ya Monduli kwa kipindi cha robo ya nne Aprili hadi Juni 2024//2025 kimefanyika leo Julai 21, 2025 katika Ukumbi mdogo wa mikutano wa Halmashauri hiyo ambap...