• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MONDULI YANG'ARA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA 2024 MA 2025

Posted on: July 8th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Monduli iliyopo Mkoani Arusha imeendelea kung'ara katika matokeo ya mitihani ya Kitaifa kwa shule za Sekondari kwa mwaka 2024, kidato cha pili, kidato cha nne, na kidato cha sita 2025 kwa ufaulu wa asilimia 100.

Akizungumzia ufaulu huo Bi. Happiness R. Laizer Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo amesema kuwa katika matokeo ya kidato cha pili, shule zote za Sekondari ndani ya Halmashauri hiyo zimepelekea  Halmashauri kupata ushindi wa nafasi ya kwanza kati ya Halmashauri 184 na kutunukiwa TUZO na CHETI.


Aidha, ameeleza kuwa kwa matokeo ya kidato cha nne Halmashauri hiyo pia imejitwalia nafasi ya Tano (5) kati ya Halmashauri 184 zilizofanya mitihani hiyo  na hivyo kutunukiwa TUZO na CHETI.

Bi. Happiness R. Laizer ameendelea kusema kuwa katika mitihani ya kidato cha sita iliyofanyika May, 2025 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli imeendelea pia kufanya vizuri kwa kupata ufaulu wa asilimia 100 kwa shule zote sita zilizopo Wilayani humo.

Naye Mwl. Given Moye Kaimu Afisa Elimu Sekondari ameeleza mikakati sita inayopelekea Halmashauri hiyo kuendelea kupanda katika Sekta ya Elimu kuwa ni pamoja na Ofisi yake kufanya ziara za mara kwa mara katika Shule zote kufuatilia suala la ufundishaji, kuungana na Wakuu wa shule zote na kufanya ziara mashuleni ili kubaini changamoto zilizopo na kuzitatua pamoja na kubadilishana uzoefu, kusimamia utendaji kazi na kufanya masahinisho ya mitihani na mazoezi kwa Wanafunzi,  Wanafunzi kushiriki Michezo pamoja na kuwepo kwa chakula bora na  cha kutosha kwa Wanafunzi wawapo shuleni.

Bi. Happiness  amewapongeza walimu wote wa shule za Sekondari Wilayani humo kwa kazi nzuri iliyopelekea kupata ufaulu huu endelevu, Wanafunzi kwa usikivu na kujiandaa vyema katika mitihani yao, na Maafisa Elimu wote tangu ngazi ya Kata kwa usimamizi mzuri.

Ambapo zaidi, Bi. Happiness ameishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kuendelea kutoa fedha za ruzuku ya chakula kwa shule zote Wilayani Monduli.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MHE. GLORIANA KIMATH AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    July 08, 2025
  • MONDULI YANG'ARA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA 2024 MA 2025

    July 08, 2025
  • MHE. FESTO SHEM KISWAGA AKABIDHI OFISI RASMI KWA MHE. GLORIANA KIMATH

    July 02, 2025
  • RC KIHONGOSI APOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI ARUSHA.

    June 30, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli