HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI
IDARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
Majukumu ya Idara ya mifugo na uvuvi
1. Kuwatembelea wafugaji ili kutoa ushauri wa kitaalam katika
maeneo yao ya kazi.
2. Kutoa chanjo ya kichaa cha mbwa na paka.
3. Kukagua nyama katika machinjio yote.
4. Kutoa matibabu ya mifugo na kufanya uchunguzi wa ugonjwa.
5. Ukaguzi wa afya ya mifugo na mazao yake
6. Utambuzi wa magonjwa, ufuatiliaji na utoaji wa kinga
7. Kutoa ushauri na elimu bora juu ya mifugo
8. Kuandaa taarifa za idara za mwezi, robo mwaka na mwaka
9. Kufuatilia na kutekeleza miradi ya maendeleo ngazi ya kata
10. Kufanya utambuzi na usajili wa mifugo
11. Kusimamia sheria ya uvuvi namba 22 ya mwaka 2003
12. Kutoa elimu ya kisasa juu ya ufugaji wa samaki.
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli