UTANGULIZI
Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji ni moja kati ya idara 13 za Halmashauri ya Wilaya ya Monduli. Idara inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria Na. 7 ya mwaka 1982 ya uanzishwaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa. Idara imegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo ni:-
Mipango
Takwimu
Ufuatiliaji na Tathimini (M&E)
Kwa sasa idara ina jumla ya watumishi 5 ambapo kuna mkuu wa idara (DPLO), Wachumi watatu (3) na Mtakwimu mmoja (1).
KAZI ZA IDARA
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli