Kitengo cha sheria kina majukum mengi katika Halmashauri.. miongoni mwayo ni kama yafuatayo;
- Kumshauri Mkurugenzi juu ya maswala yote yahusuyo sheria katika Halmashauri
- Kushauri Idara nyingine zote zilizopo katika Halmashauri juu ya maswala yote yanayo husu sheria
- Kutunga na kuandaa sheria ndogo za Halmashauri kwa ajili ya kuwezeaha uendeshaji wa shughuli za kila siku za Halmashauri
- Kusimamia na kuiwakilisha Halmashauri katika mashauri yote ambayo Halmashauri inahusika
- Kupitia mikataba yote ambayo inahusu Halmashauri
- Kuunda na kusimamia mabaraza yote ya Kata yaliyopo ndani ya Halmashauri
- Kutoa msaada wa kisheria kwa jamii yote iliyopo ndani ya Halmashauri
- Kusimamia swala zima la ulinzi wa mali za Halmashauri
- Kusimamia na kufuatilia wadaiwa wote wa Halmashauri
- Kumshauri mkurugenzi juu ya mbinu borw za ukusanyaji wa mapato na uanzishwaji wa vyanzo vipya vya mapato kwa ustawi wa Halmashauri
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli