Wafanyabiashara zaidi ya 100 wilayani Monduli, wakiwemo wajasiriamali, wamiliki wa viwanda, nyumba za kulala wageni, pamoja na taasisi za fedha na NEMC, wamepatiwa elimu ya biashara kidijitali katika kikao kilichofanyika Juni 20, 2025 katika ukumbi wa Halmashauri hiyo.
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli