Posted on: March 18th, 2025
Mafunzo hayo ya Elimu ya mlipa kodi kwa wafanyabiashara, wamiliki wa vyombo vya moto na madereva Wilayani Monduli yamefanyika leo Machi 18, 2025 katika ukumbi mkubwa wa mikutano wa Halmash...
Posted on: March 17th, 2025
Mafunzo hayo yametolewa kwa kamati ya ulinzi na usalama,wakuu wa Idara na vitengo na watendaji wa kata yenye lengo la kuwawezesha washiriki hao kuelewa dhima ya ulinzi na usalama wa Nchi,kuwakumbusha ...
Posted on: March 14th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe.Festo Shem Kiswaga amekabidhi hundi ya shilingi milioni 187 kutoka Randlen (WMA) fedha za jumuiya za hifadhi kwa vijiji nane (8) katika Kata tatu za Mswakini,Lemoot...