• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MONDULI YAPETA MIRADI YA MWENGE 2023

Posted on: July 1st, 2023

Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 umepitia jumla ya miradi 10 katika Wilaya ya Monduli nakuridhishwa na miradi yote.

Akizungumza katika hitimisho la ziara hiyo Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Bwana Abdalla Kaim ameipongeza Wilaya ya Monduli kwa kupata hati safi katika miradi yote iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru na kuwataka watekeleze maagizo yote yaliyotolewa na Mwenge huo kwa wakati ili wananchi waweze kunufaika na miradi hiyo.

Mwenge wa Uhuru umepitia jumla ya miradi 10 ikiwemo ya Mazingira, afya, Miundombinu, shule, mradi wa uwezeshaji vijana kiuchumi,klabu ya rushwa iliyogharimu zaidi ya sh.bilion 1. Katika miradi hiyo,mradi 1 iliwekewa jiwe la msingi,mradi 1 ulifunguliwa, mradi 5 ulizinduliwa na miradi 3 ilitembelea.

Mbio za Mwenge wa Uhuru  zimekimbizwa katika Wilaya ya Monduli kwa umbali wa kilomita 171.2 na zinatarajia kumalizika katika Mkoa wa Arusha Julai 3,2023.

@monduli_dc

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI 2023 AJIRA AWAMU YA PILI September 01, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 12, 2023
  • NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI July 04, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RUWASA KUSAMBAZA MAJI KATA YA MSWAKINI

    September 01, 2023
  • 26.AGOST 2023

    August 16, 2023
  • KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI KUJADILI TAARIFA ZA KATA, KIKAO CHA KWANZA 10.08.2023

    August 10, 2023
  • IDARA YA ELIMU MSINGI YAFANYA TATHIMINI MTIHANI WA MOCK DARASA LA SABA 2023

    July 21, 2023
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli