MKURUGENZI MTENDAJI (W) - MONDULI, NINAWATANGAZIA WAOMBAJI WALIOOMBA KAZI ZILIZOTANGAZWA TAREHE 24/05/2022 KUWA USAILI UNATARAJIWA KUFANYIKA TAREHE 11/7/2022 HADI TAREHE 14/07/2022 KATIKA UKUMBI WA CHUO CHA UALIMU MONDULI. KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA KUITWA USAILI MONDULI.pdf
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli