Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli anapenda kuwatangazia nafasi za ajira ya mkataba nafasi ya wakusanya ushuru kwa miezi mitatu kwa watanzania wenye sifa BOFYA HAPA KUPAKUA TANGAZO. TANGAZO LA KAZI
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli