Akizungumza na walimu wa shule ya sekondari Mswakini, Mhe Joshua Nassari amewapongeza walimu kwa kujituma kufundisha kufundisha kwani maenndeleo yao ni mazuri.
Vivyo hivyo ametotoa maelekezo kwa mkuu wa shule ya sekondari Mswakini kutunza shule na mazingira pamoja na rasilimali zilizopo shuleni hapo.
Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano Serekalini
Monduli.
#Kazi Iendelee
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli