Posted on: June 20th, 2018
Mhe. Mrisho Gambo ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha amekemea vikali tabia ya watu waaotumia madaraka vibaya kujipatia ardhi kinyume na sheria. Akizungumza katika baraza la maalumu la madiwani ...
Posted on: May 17th, 2018
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa Tsh. Milioni 400 fedha za ruzuku kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa Kituo cha Afya Mto wa Mbu. Kituo cha afya mto wa mbu ni moja ya vituo v...
Posted on: April 30th, 2018
Mkurugenzi mtendaji (w) Monduli Ndg. Anderson S. Ulaya amepokea taarifa za kujiuzulu kwa madiwani sita(6) wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Madiwani ...