• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

ZIARA YA KUSHTUKIZA WAZIRI BASHE YAWAPA MATUMAINI WAKULIMA MONDULI

Posted on: July 5th, 2023

Waziri wa kilimo wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Hussein Mohamed Bashe amefanya ziara ya kushtukiza katika wilaya ya Monduli kata ya Mto wa Mbu.

Awali akizunguzma na wanachi katika eneo la kigongoni kijiji cha baraka ambapo ametembelea na kukagua eneo linalotarajiwa kujegwa Soko maalumu la mbogamboga amesema wizara inajipanga kuanza ujenzi wa soko hilo siku za hivi karibuni.

Katika hatua nyingine Mhe. Bashe ametembelea kata ya majengo kukagua skimu ya umwagiliaji ambapo amekuta ikikabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo mafuriko na ukosefu wa uzio jambo linalosababisha migogoro kati ya wakulima na wafugaji.

Akijibu changamoto hizo amesema kupitia wizara yake ya kilimo  wataanza kutatua changamoto ya mafuriko kutoka kata ya Engaruka mpaka Mto wa Mbu kwa kujenga mifereji ya kisasa pamoja na uzio litakalo zuia mifugo kufika katika maeneo ya wakulima.

 "Hatua za awali tutakazo chukua ni kusakafia mifereji inayopokea maji na kueleka maji mashambani, lakini kazi kubwa tutakayoifanya katika tangazo atakalotoa Mkurugenzi wa tume ya umwagiliaji ni kutangaza hatua ya mifereji miwili ya kupeleka maji shambani na fensi kwa pamoja" Bashe amesema

 "Kazi  ya pili atakayo ifanya ni kufanya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina kwanzia Engaruka ambako ndiko chanzo kwajili ya ku dising mabwawa ya kupokelea Maji ili hayo maji yatumeke huku chini, ninaamini hili bonde lote linaweza kubadilisha maisha ya wanamonduli"  Bashe amesema.

Kwa upande wake mweyeji wake, Mbunge wa jimbo la Monduli Mhe. Fredrick Lowassa amemshukuru Waziri wa kilimo kwa ujio wake wilayani monduli na kusikiliza changamoto za wakulima na kuahidi kuzitaftia ufumbuzi Mapema.

Lowassa amesema maeneo hayo mawili aliyoyatembelea Waziri wa kilimo, eneo la soko na skim ya wakulima ni miongoni mwa maeneo anayo yatamani kushughulikiwa kwani ni ahadi yake kwa wana Mto wa Mbu wakati akiwania nafasi hiyo ya ubunge.

 "Wakati naomba nafasi ya ubunge pale chuo cha ualimu Monduli nilipewa dakika tatu pekee kujieleza lakini nimetumia dakika moja na nusu kuaelezea nitakavyo isaidia Mto wa Mbu kwasababu najua Mto wa Mbu ndio penye mapato kwa wilaya ya Monduli " Lowassa amesema.

Na Mwandishi Wetu @obed_emmanuel

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MODFA YALENGA MBALI-MONDULI

    March 20, 2025
  • MHE.FREDRICK LOWASSA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MONDULI

    March 19, 2025
  • MILIONI 240 ZANUFAISHA KIJIJI CHA IRIMORIJO KWA MRADI WA MAJI

    March 18, 2025
  • MAFUNZO YA ELIMU YA MLIPA KODI KWA WAFANYA BIASHARA WAMILIKI WA VYOMBO VYA MOTO NA MADEREVA

    March 18, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli