Mafunzo hayo ya Elimu ya mlipa kodi kwa wafanyabiashara, wamiliki wa vyombo vya moto na madereva Wilayani Monduli yamefanyika leo Machi 18, 2025 katika ukumbi mkubwa wa mikutano wa Halmashauri hiyo.
Ambapo Bi. Eugenie Mkumbo na Ndg. Nicodemu Massawe wametoa elimu hiyo yenye lengo la kutoa uelewa kwa makundi tajwa ili waweze kutumia Mfumo mpya ulioboreshwa kwa ajili ya kupata leseni zao pamoja na kubadilisha umiliki wa magari yao kupitia Mfumo huo na hili litasaidia Serikali kukusanya mapato kwa wakati.
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli