• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WATUMISHI WA UMMA WILAYA YA MONDULI WATAKIWA KUJIANDIKISHA NA KUPIGA KURA

Posted on: October 9th, 2024

Afisa Uchaguzi wa Wilaya ya Monduli Ndg.Petro Mwashiuya Leo Oktoba 9, 2024 katika Ukumbi wa Halmashauri hiyo, amewataka watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli kujiandikisha kwenye daftari la orodha ya wakazi katika maeneo wanayoishi ifikapo Oktoba 11 hadi 20 ili waweze kupata fursa ya kupiga kura Novemba 27, 2024 kuwachagua viongozi watakao waongoza katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Ndg. Petro Mwashiuya ameyasema hayo leo ikiwa imebaki siku moja kuanza rasmi zoezi la uandikishaji wa daftari la orodha ya wakazi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa novemba 27, 2024. Ambapo ameeleza rasmi kuwa kutafanyika uzinduzi wa tukio hilo na Mhe. DC Festo Kiswaga atazindua rasmi zoezi hilo katika viwanja vya Soko la kila siku la Monduli Mjini.

Ndg. Petro Mshiuya amesisitiza Watumishi wote kushiriki uzinduzi huo na kuonesha uzalendo wao katika tukio hilo muhimu linalopelekea kupata haki yao ki-katiba ya kupiga kura.

"Serikali za Mitaa,Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi"

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MODFA YALENGA MBALI-MONDULI

    March 20, 2025
  • MHE.FREDRICK LOWASSA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MONDULI

    March 19, 2025
  • MILIONI 240 ZANUFAISHA KIJIJI CHA IRIMORIJO KWA MRADI WA MAJI

    March 18, 2025
  • MAFUNZO YA ELIMU YA MLIPA KODI KWA WAFANYA BIASHARA WAMILIKI WA VYOMBO VYA MOTO NA MADEREVA

    March 18, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli