Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Bi. Happiness R. Laizer (wapili kushoto mstari wa mbele) , ameshiriki mafunzo ya maadili kwa viongozi wa umma yaliyoanza Juni 9, 2025 visiwani Zanzibar na yanatarajia kuhitimishwa Juni 11, 2025.
Mafunzo hayo yanalenga kuwaimarisha Viongozi wa Umma katika misingi ya uadilifu, uwajibikaji na maadili bora kazini, kwa kutambua kuwa watumishi wa umma ni Moyo wa Taifa na mwenendo wao huathiri maisha ya Wananchi kila siku.
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli