• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RUWASA WAANDAA KIKAO CHA MWAKA CHA VYOMBO VYA WATOA HUDUMA YA MAJI

Posted on: November 30th, 2023

Vyombo vya Watoa huduma ya maji ngazi ya jamii wilaya ya monduli Vimetakiwa Kuwa mstari wa mbele kusimamia Miradi ya maji inayotekelezwa na Serikali ili kufanikisha adhma ya kufikisha huduma hiyo kikamilifu kwenye jamii.

Wito huo umetolewa na Afisa tawala wilaya ya monduli Ndugu. Anael Mbise Akimwakilisha mkuu wa Wilaya ya Mhe Joshua Nassari katika kikao cha mkutano Mkuu wa mwaka wa vyombo vya Watoa huduma ya maji kilicho fanyika wilaya hapo.

Amesema Serikali inatoa fedha nyingi kufanikisha miradi hiyo lakini kumekua na uharibifu mkubwa wa miundombinu ya maji jambo ambalo linarudisha nyuma jitihada za kusambaza huduma ya maji

Katika hatua nyingine amemuelekeza Meneja wa RUWASA wilaya ya monduli kuvisimamia vyombo hivyo vifanye kazi kwa Ueledi na kuvivunja mara moja vyombo vivuli visivyo fanya kazi ambavyo amevitaja kuwa chanzo cha ukwamishaji.

Kwa niaba ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri na Diwani wa kata ya Monduli Juu Mhe. Thomas Meiyan Ametumia kikao hicho kutoa wito kwa wana monduli kuthamini fedha za serikali zinazotolewa kupitia miradi mbalimbali kwa kuitunza.

Nae Katibu wa chama cha Mapinduzi Wilaya ya Monduli Bi Rukia mbasha kwa niaba ya chama cha mapinduzi Amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuiletea monduli miradi mingi ya kimaendeleo ikiwemo miradi ya maji.

Aidha Meneja wa RUWASA Mkoa wa Arusha Mwandisi Emmanuel Makaidi akizungumza katika kikao hicho amesema vyombo vya watoa huduma ya maji ndio uti wa mgongo unaosaidia katika uendelevu wa huduma hivyo, amevitolea wito kufanya kazi kwa uadilifu na kusimamia nafasi zao ipasavyo.

Hata hivyo, Meneja wa Ruwasa wilaya ya monduli Ndugu.Neville Daud Msaki akitaja mkakati wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuendelea kutoa huduma bora zaidi katika wilaya nzima ya Monduli, ambapo amesema adi kufikia mwaka 2025 wanatarajia kufikia asilimia 85 za utoaji huduma.

@obedemmanuel

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MODFA YALENGA MBALI-MONDULI

    March 20, 2025
  • MHE.FREDRICK LOWASSA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MONDULI

    March 19, 2025
  • MILIONI 240 ZANUFAISHA KIJIJI CHA IRIMORIJO KWA MRADI WA MAJI

    March 18, 2025
  • MAFUNZO YA ELIMU YA MLIPA KODI KWA WAFANYA BIASHARA WAMILIKI WA VYOMBO VYA MOTO NA MADEREVA

    March 18, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli