Kikao hicho kimejadili utekelezaji wa shughuli za lishe ambazo zimetekelezwa na wakuu wa idara kutoka kila idara na watendaji wa kata.
Ambapo halmashauri ya Wilaya ya Monduli imeweza kutekeleza kwa zaidi ya asilimia 80% Shughuli mbalimbali za lishe ikiwemo utoaji wa fedha kwa asilimia 98% mpaka sasa.
Hata hivyo mkuu wa Wilaya mhe.Festo Kiswaga pamoja na wajumbe mbalimbali amempongeza mkurugenzi mtendaji kufikia asilimia 98%za utoaji fedha za afua za lishe.
Kwa upande wake mkuu wa Wilaya amewataka watendaji kuhakikisha wanapata alama ya kijani kwenye kila afua ya lishe ili kuondoa alama nyekundu kwenye kadi ya alama (score card)
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli