Mkuu wa wilaya ya Monduli mhe.Joshua Nassari pamoja na viongozi wengine kutoka serikalini wahudhuria sherehe za kilele cha siku ya sheria Nchini (Law day) iliyofanyika viwanja vya polisi Wilayani Monduli tarehe 1.2.2024..
Ambapo mwanzo,kilele hicho cha siku ya sheria,kilitanguliwa na Maadhimisho ya Wiki ya Sheria nchini,yaliyofanyika kuanzia tarehe 24-30 januari 2024,Kwa kutoa Elimu kwa umma na msaada wa kisheria bure.
Maadhimisho hayo yameambatana na kauli mbiu ya mwaka 2024 " Umuhimu wa Dhana ya Haki kwa ustawi wa Taifa;Nafasi ya Mahakama na wadau katika kuboresha Mfumo Jumuishi wa Haki Jinai".
Imeandaliwa na :
Kitengo cha Mawasiliano Serekalini
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli