• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

BARAZA LA MADIWANI LA POKEA NA KUJADILI RASIMU YA MPANGO WA MAPENDEKEZO YA BAJETI 2025/2026 - MONDULI.

Posted on: February 5th, 2025

Mhe. Isack Joseph Copriano Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Monduli leo Feb.5,  2025 katika Ukumbi wa Halmashauri hiyo,  ameongoza Baraza la Madiwani lenye dhima ya kupokea na kujadili rasimu ya Mpango wa mapendekezo ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Akiongoza majadiliano katika Baraza hilo, Mhe. Isack Copriano, wajumbe pamoja na Wataalamu katika Halmashauri hiyo wamepitisha rasimu ya bajeti yenye jumla ya fedha za Kitanzania bilioni 48.1 ikiwa na ongezeko la asilimia 3.4 ukilinganisha na shilingi bilioni 46.5 za bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ambapo fedha hizo zitakusanywa na kutumiwa katika shughuli  mbalimbali za Maendeleo ndani ya Halmashauri  ya Wilaya ya Monduli kwa Mwaka wa fedha 2025/2026.

Sambamba na kupitisha bajeti hiyo, Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Monduli kwa kufurahishwa na jitihada zilizopelekea ongezeko la mapato ya ndani kwa asilimia 3.4, limeruhusu  gari lililokuwa likitumiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo kuanza kutumiwa na Idara ya fedha na uhasibu ili kuendelea kuboresha na kudhibiti shughuli za ukusanyaji mapato Wilayani humo

Vilevile,  Baraza la Madiwani Wilaya ya Monduli limeelekeza shilingi milioni 150 zitengwe kwa ajili ya manunuzi ya gari la Idara ya Maliasili na Mazingira ili kuwezesha Idara hiyo kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi

Mhe. Isack Copriano amehitimisha Baraza hilo kwa kuwataka Wataalamu Wilayani humo kufanya maboresho katika bajeti hiyo sawa sawa na maamuzi ya Baraza hilo huku akisisitiza miradi pendekezwa kwenye bajeti ya 2025/2026 izingatiwe.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MODFA YALENGA MBALI-MONDULI

    March 20, 2025
  • MHE.FREDRICK LOWASSA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MONDULI

    March 19, 2025
  • MILIONI 240 ZANUFAISHA KIJIJI CHA IRIMORIJO KWA MRADI WA MAJI

    March 18, 2025
  • MAFUNZO YA ELIMU YA MLIPA KODI KWA WAFANYA BIASHARA WAMILIKI WA VYOMBO VYA MOTO NA MADEREVA

    March 18, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli