Mkuu wa Divisheni ya utawala na rasilimali watu Bi.Namnyaki Leitekei kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Bi. Happiness R. Laizer, Leo Machi 28, 2025 amefanya kikao kazi na watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli (HQ) kwa lengo la kukumbushana utekelezaji wa majukumu na wajibu kwa watumishi kulingana kada zao za kazi katika Halmashauri hiyo.
Aidha, amewasisitiza watumishi hao kuzingatia suala la kujaza majukumu yao ya kila siku katika mfumo wa e- tendaji kwani kwakuto kufanya hivyo kunaweza kupelekea kukosa stahiki za msingi za kiutumishi.
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli