• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI ROBO YA TATU KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 UMEFANYIKA TAREHE 15.5.2024

Posted on: May 17th, 2024

Mkutano huo umefanyika wilayani Monduli kwa kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2023/2024 katika ukumbi wa Halmashauri.

Katika mkutano huo lengo lilikuwa ni kujadili na kupitisha ajenda mbali mbali kuhusu maendeleo katika Wilaya ya Monduli.

Vivyohivyo,pia baraza limejadili na kupitisha taarifa kutoka kwenye kamati za kudumu za Halmashauri na mamlaka nyingine za Serikali Wilayani Monduli.Ambazo ni pamoja na Kamati ya elimu afya na maji.Kamati ya uchumi, ujenzi na mazingira.Kamati ya fedha, utawala na mipango.Mamlaka ya umeme Tanzania (TANESCO).Wakala wa barabara Vijijini (TARURA),na wakala wa maji vijijini (RUWASA)

Baraza Hilo limejadili kwa undani na kuona ni jinsi gani ofisi ya Mkurugenzi mtendaji pamoja na ofisi ya mkuu wa wilaya kuweza kuondoa tatizo la wanafunzi kubeba mimba mashuleni kwa kuona hilo sekta ya elimu ilichukue kwa ukubwa nakueza kutafuta mbinu thabiti kwa kutumia sheria ili kueza kuondoa adha hiyo ya wanafunzi kupata mimba mashuleni.

Mwenyekiti wa Halmashauri ndug.Isaack Copriano Amesisitiza pia kamati ya fedha utawala na mipango,kwa upande wa ukusanyaji wa mapato na kusema kwamba kujituma katika ukusanyaji wa mapato kwani ukusanyaji wa mapato umeshuka kwa kiwango kikubwa.

Kwa upande wa TANESCO baraza la madiwani limejadili hoja zilizowasilishwa na mwakilishi kutoka mamlaka ya umeme Tanesco Wilaya ya Monduli.Ambapo baadhi ya Madiwani kutoka kata ya Engaruka pamoja na Mswakini kuomba umeme kufikia katika baadhi ya maeneo ya kata hizo ili kuweza kuwasaidia wananchi kutokana na shida yakukosekana kwa umeme.

Akihitimisha baraza hilo la madiwani, Mwenyekiti wa Halmshauri amempongeza Meneja ruwasa wilaya ya Monduli kwa kazi nzuri inayofanyika japo kuwa kuna baadhi ya maeneo ya wilaya ya monduli kuna ukosekanaji wa maji lakini jitihada zinaonekana na zinaendelea kufanyika Kwani wataalamu wako saiti wanapambana.


Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DC MONDULI AWAPONGEZA MADAKATRI BINGWA WA MAMA SAMIA

    May 17, 2025
  • ELIMU YA LISHE, AFYA NA MAZINGIRA PAMOJA NA MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE IENDELEE KUTOLEWA- MONDULI.

    May 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA 3

    May 14, 2025
  • MAMALISHE 30 WAPATIWA MAJIKO YA NISHATI SAFI -MONDULI

    May 14, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli