• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MILIONI 187 ZA NUFAISHA VIJIJI 8 KATIKA KATA 3 WILAYANI MONDULI

Posted on: March 14th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe.Festo Shem Kiswaga amekabidhi hundi ya shilingi milioni 187 kutoka Randlen (WMA) fedha za jumuiya za hifadhi kwa vijiji nane (8) katika Kata tatu za  Mswakini,Lemooti,Lolkisale zilizopo Wilayani Monduli tarehe 13, Machi 2025.

Akizungumza katika hafla hiyo Mhe.Festo Kiswaga ametoa shukrani za dhati Kwa (WMA) na timu nzima kwa kuwawezesha Wananchi walioko Wilaya Monduli kunufaika na fedha hizo kwani zitawasadia kujenga madarasa kwa ajili ya wanafunzi, na  kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalum ikiwa ni pamoja na kumalizia miradi ambayo haijakamilika.

Naye Mbunge wa Jimbo la Monduli Mhe.Fredrick Lowassa amemshukuru Mkuu wa Wilaya na kusema  '' Jambo alilolipigania linafanyika na hata Wananchi kuweza kupata fedha za Randilen ambazo zitasadia maisha ya Mwananchi mmoja mmoja Monduli; kupitia kwako Mkuu wa Wilaya na mbele ya  wananchi kwamba Serikali iweze Kuona faida za fedha za Randilen (WMA) Monduli". amesema Fredrick

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Bi. Pamela  Ijumba amesema,  fedha ambazo Wananchi wamepata kwaajili ya kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kufanya maendeleo mengine zifuatwe kanuni na taratibu za manunuzi ili kuhakikisha miradi inayojengwa inakuwa na ubora.

Naye Diwani wa Kata ya Lolkisale Mhe.Solomoni Kisioki ameishukuri  Randlen (WMA) Kwa kuiona Kata ya Lolkisale ni miongoni mwa wanufaika wa fedha hizo, hivyo kupitia milioni 23 zilizotolewa zitaenda kujenga shule ya Msingi Kijiji Cha NAFCO ambayo itarahisisha kupunguza umbali mrefu kwa wanafunzi kwenda kujisomea shule zilizoko mbali.

Mhe.Nanga Lenasira, Diwani Kata ya Mswakini ameshukuru kwa kupata fedha hizo ambapo zitaenda kumalizia miradi ambayo haijakamilika ikiwemo nyumba za walimu pamoja na mabweni ya wanafunzi.

Mwenyekiti wa Randilen Lazaro Peter Laizer amehitimisha kwa kuwataka Wananchi wa Wilaya ya Monduli kwa vijiji nane (8) vilivyopata fedha hizo kuzitumia kwaajili ya kuleta maendeleo kwa kujenga  miradi itakayo wasaidia watoto wenye mahitaji na kumalizia miradi ambayo bado haijakamilika na si Kwa matumizi mengine.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DC MONDULI AWAPONGEZA MADAKATRI BINGWA WA MAMA SAMIA

    May 17, 2025
  • ELIMU YA LISHE, AFYA NA MAZINGIRA PAMOJA NA MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE IENDELEE KUTOLEWA- MONDULI.

    May 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA 3

    May 14, 2025
  • MAMALISHE 30 WAPATIWA MAJIKO YA NISHATI SAFI -MONDULI

    May 14, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli