• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MAKONDA AZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI WA VISIMA VYAMAJI MONDULI

Posted on: October 24th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda Leo Oktoba 24, 2024 katika Kijiji cha Tukusi Wilayani Monduli Mkoani Arusha, amezindua Mpango wa uchimbaji Visima virefu zaidi ya 30 unaofanyika kwenye Majimbo yote ya Mkoa wa Arusha ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa Ilani ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kuhakikisha maeneo yote yanakuwa na maji ya uhakika na salama muda wote.

Katika uzinduzi huo, Wizara ya Maji kupitia Bw. Gibson Bayona, ambaye ni Mratibu wa Kampeni ya Maji inayoendelea nchi nzima wenye jina la "Maji Mwa Mwa Mwaa", amba yo utekelezaji wake unatokana na uwezeshaji wa serikali ya awamu ya sita uliotokana na fedha za kupambana na janga la UVIKO-19, ambapo fedha zake zilitumika kununua mitambo 25 ya uchimbaji wa visima virefu na utengenezaji wa mabwawa ya maji kwenye Mikoa zaidi ya 25 ikiwemo Mkoa wa Arusha.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Festo Kiswaga ameeleza furaha yake ya Upatikanaji wa Maji ndani ya vijiji vitano (5) vilivyopo Wilaya ya Monduli ambapo awali vimekuwa na changamoto  kubwa ya Maji,huku akitoa shukrani za pekee kwa Mhe Rais wa awamu ya sita kupitia  kupitia Wizara ya Maji inayosimiwa na Mhe.Juma Awesome kwa kuwa wana Monduli sasa watapata Maji wastani Lita elfu elfu thelathini (30,000).

Kwa upande wake Mhandisi Naville Msaki ambaye ni Meneja wa RUWASA Wilaya ya Monduli amesema "kupitia programu hii maaalumu ya uchimbaji visima mia tisa (900) Nchini kwa kutumia mtambo wa kuchimba  visima Wilaya ya Monduli tumefanikiwa kupata visima vitano katika vijiji vitano (5) ambavyo awali havikuwa na Maji sasa vinaweza kupata Maji kwa mkisio ya Lita elfu thelathini (30,000) kwa saa na vijiji hivyo ni Tukusi,Kilimatinda,Lolera,Oldonyo na Engorika." amesema Mhandisi Msaki

Kwa ujumla,wananchi  na wanufaika wa mradi huo wa maji wameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuwakumbuka, wakimuombea kheri, afya njema na uwajibikaji mwema katika majukumu yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda kwa kuweza kuwafikia.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DC MONDULI AWAPONGEZA MADAKATRI BINGWA WA MAMA SAMIA

    May 17, 2025
  • ELIMU YA LISHE, AFYA NA MAZINGIRA PAMOJA NA MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE IENDELEE KUTOLEWA- MONDULI.

    May 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA 3

    May 14, 2025
  • MAMALISHE 30 WAPATIWA MAJIKO YA NISHATI SAFI -MONDULI

    May 14, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli