Mafunzo ya utoaji mikopo ya wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu, yamefanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli tarehe 4 Octoba, 2024
Mafunzo hayo yaliyozingatia kanuni za utoaji wa mikopo na majukumu ya kamati za Kata yamejumuisha pia WEO,CDO na polisi jamiii walioko kwenye Kila Kata za wanufaika hao.
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli