• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

HAFLAFLA YA UTIAJI SAINI UKARABATI WA SKIMU WA BONDE LA MTOWAMBU

Posted on: February 19th, 2025

Nikisikia umeshalipwa pesa na kazi haiendelei nitakushughulikia. Lakini kwakuwa umeweza kufanya vizuri kwenye mradi wa Maji  ndani ya Wilaya yetu basi naamini hata katika mradi huu, utafanya vizuri.

Hayo yamesemwa Feb 19, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Festo Shem Kiswaga wakati wa hafla fupi ya utiaji Saini wa Mkataba wa Mradi wa Ukarabati wa miundombinu ya Umwagiliaji katika skimu za Mto wa Mbu Wilayani Monduli.

Akisoma Taarifa ya Mradi huo Ndg. Alfred amesema kuwa mradi huo wenye thamani ya bilioni 17.6 unasainiwa kati ya Tume hiyo na M/S Jandu Plambering Limited na utadumu kwa miezi 18 ambapo, skimu zitakazo fanyiwa kazi ni kumi (10) kati ya 17 ambazo ni Mahande, Majengo juu, Kabambe Majengo, Blockfarm, Migungani, Jangwani, Kirurumo, Migombani chini na Nawaleni.

Aidha, Ndg. Aretas Nyengela Kaimu Mwandishi wa Umwagiliaji Mkoa wa Arusha amesema kuwa kazi za Mkataba huo ni kusafisha mifereji kwenye skimu, kuchimba na kujengewa mitaro ili kuzuia mafuriko, kuweka uzio(electrical fiance) kuzuia uharibifu wa mazao,  wanyama pori na Mifugo.

Naye Mkurugenzi wa Tume ya Umwagiliaji Bw. Raymond William Mndolwa amemtaka mkandalasi kuhakikisha anaboresha barabara za kueleleka kwenye skimu hizo ili kurahisisha usafirishaji wa mazao huku akisisitiza kuwa kujenga uzio huo isiwe chanzo cha vyuma chakavu bali iwe ni kulinda mazao ya wakulima katika skimu hizo.

Kwa upande wake Mhe. Fred Lowassa - Mbunge wa Monduli  amemtaka Mkandalasi aliyesaini Mkataba huo kutoa fursa kubwa za ajira kwa wananchi wa maeneo ya mradi ili waweze kunufaika na mradi huo tangu hatua za ujenzi  wake.

 Bi. Happiness R. Laizer Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli ametoa shukrani kwa Tume ya umwagiliziaji na kusema kuwa anaamini uzalishaji wa mazao utaongezeka huku akiwataka wananchi kuchukuwa tahadhali mara itakapowekwa fensi ya umeme ili yasitokee madhara kwa binadamu sambamba na kumwelekeza Afisa kilimo kuandaa mbegu Bora ili wananchi waanze kuzalisha kwa tija.

Kwa niaba ya wananchi wanufaika wa mradi huo Bi. Hellena Mollel ametoa shukrani kwa uongozi wa awamu ya sita kwa kuwakumbuka wakulima wa Monduli na kuomba viongozi husika kusaidia kuboresha bei za mazao yao.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DC MONDULI AWAPONGEZA MADAKATRI BINGWA WA MAMA SAMIA

    May 17, 2025
  • ELIMU YA LISHE, AFYA NA MAZINGIRA PAMOJA NA MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE IENDELEE KUTOLEWA- MONDULI.

    May 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA 3

    May 14, 2025
  • MAMALISHE 30 WAPATIWA MAJIKO YA NISHATI SAFI -MONDULI

    May 14, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli