Mafunzo hayo yametolewa kwa kamati ya ulinzi na usalama,wakuu wa Idara na vitengo na watendaji wa kata yenye lengo la kuwawezesha washiriki hao kuelewa dhima ya ulinzi na usalama wa Nchi,kuwakumbusha watendaji kutekeleza masuala ya usalama, kuwaongezea ujuzi wa kusimamia usalama katika ngazi zao sambamba na kukumbusha mbinu mbali mbali za kutatua migogoro katika jamii ili kwa pamoja na kuimarisha ushirikiano kati ya watendaji wa kata, vyombo vya usalama na jamii kwa ujumla.
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli