• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MONDULI YAADHIMISHA SIKU YA WAZEE DUNIANI

Posted on: September 25th, 2025

Ninawataka muendelee kuwa msaada katika Jamii kwa kusaidia kutatua migogoro ikiwemo migogoro ya ardhi, ndoa, familia yaani ndugu kwa ndugu na mirathi kwa kuwa utatuzi wa migogoro hii unahitaji zaidi busara za wazee.

Hayo yamesemwa leo Septemba 25, 2025 na Ndg. Muhsin Kassim Katibu Tawala kwa niaba ya Mhe. Gloriana J. Kimath Mkuu wa Wilaya ya Monduli katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika Mjini humo katika Ukumbi wa CDTI.

Akisoma taarifa ya utekelezaji wa shughuli za wazee katika Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Ndg. Constantino Rahhi Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya, amesema kuwa Halmashauri hiyo ina jumla ya Wazee 13,160 kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ambayo inabainisha jumla ya Wazee 4,306 wasiojiweza na ambao wamepewa vitambulisho vya matibabu bure.

Aidha, kwa mwaka 2025 Halmashauri kupitia Kitengo cha Ustawi wa Jamii imeendelea kutekeleza Afua za Wazee kwa njia ya matangazo katika hospitali, vituo vya Afya na zahanati kwa kuwapa wazee  kipaumbele ' Mzee kwanza: mpishe  Mzee apate huduma. " , kuhakikisha mwakilishi mmoja anahudhuria Maadhimisho haya Kitaifa Mkoani Ruvuma. kupinga ukatili, kuwezesha vikao vya robo vya baraza wazee la Wilaya, kuwezesha wazee 420 kupata BIMA za Afya za ICHF pamoja na kutoa matibabu bure kwa wazee.

Naye Ndg. Hamisi Ramadhani  Mwenyekiti wa Baraza la Wazee ameiomba Serikali kwa ngazi ya halmashauri kuwapatia mikopo kupitia vikundi vya ujasiriamali,  kwakuwa wazee wanachangamoto ya hali duni ya maisha kwa kukosa mitaji; huku akiomba wazee kushirikishwa katika vikao vya maamuzi.

Akijibu kipengele cha ushiriki wa wazee katika vikao,  Bi. Pamela Ijumba, kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli amewaeleza Wazee hao kuwa wanayofursa ya kushiriki katika mabaraza ya wazi ya Halmashauri kwakuwa vikao vingine vipo kwa mujibu wa Sheria huku akiwataka kuomba nafasi katika ngazi za vijiji na Kata (kwa vituo vyote vya Afya) ili wapate fursa za kushauri masuala ya maendeleo na Afya.

Kwa upande wake Dkt. George Kasibante Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo amewaeleza Wazee hao kuwa kwa sasa huduma ambazo awali walizifuata Mount Meru hospitali kama vile huduma ya mazoezi, vipimo vya meno, kifua, na uchungizi wa damu zinaoatikana katika hospitali ya Wilaya pamoja na kuwepo kwa Daktari Maalum wa kuhudumia wazee., huku akibainisha kuwa vipimo hivyo pia vinapatikana katika vituo vya Afya vya NAFCO, Makuyuni na Mto wa Mbu

Kaulimbiu: " Wazee tushiriki Uchaguzi kwa Ustawi wa Jamii

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BIMA YA AFYA KWA WOTE MONDULI TUMEFIKIWA.

    January 19, 2026
  • VIKUNDI VINAVYOPEWA MIKOPO VISIWE CHECHEFU

    December 05, 2025
  • DC GLORIANA ASIKILIZA NA KUTATUA KERO NA CHANGAMOTO ZA KATA YA SEPEKO

    November 19, 2025
  • MWENYEKITI KIJIJI CHA MIGOMBANI KATA YA MAJENGO ARUDISHWA MADARAKANI

    November 18, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AERO88
  • YAMITOTO
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • YAMITOTO
  • Toto Togel
  • AXL777
  • AERO88
  • AXL777
  • Toto Slot
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto Online
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • slot gacor
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777