• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MAKARANI WAONGOZAJI WASISITIZWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA MAELEKEZO OKTOBA 29, 2025

Posted on: October 25th, 2025

Matokeo bora ya zoezi hili la Uchaguzi Mkuu utakaofanyika siku ya Jumatano Oktoba 29, 2025 yanategemea zaidi umakini na uelewa wenu katika mafunzo haya mnayopatiwa leo, hivyo ninawasihi kufanya kazi kwa uadilifu na mkitambua kuwa nyinyi mliopo hapa mmeteuliwa kwa mujibu wa sheria, na tangu tarehe ya uteuzi wenu mnao wajibu wa Kikatiba na mmeaminiwa na Tume ili kutekeleza majukumu ya uchaguzi kwa kuwaongoza Wananchi waweze kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge na Madiwani kwa niaba ya Tume katika vituo vya kupigia kura mtakavyopangwa.

Hayo yamesemwa leo Oktoba 25, 2025 na Ndg. Emmanuel Richard Mpongo Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Monduli  katika Ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii (CDTI) wakati akifungua mafunzo kwa Makarani waongozaji wapiga kura Jimboni humo; watakaofanya shughuli za Uchaguzi katika jumla ya vituo 400 vilivyopo kwenye kata 20 za Halmashauri ya Wilaya ya Monduli huku akiwasisitiza kuzingatia Sheria, Kanuni na Maelekezo katika Uchaguzi huo.

Aidha, Ndg. Mpongo amewaeleza Makarani hao kuwa wameapa viapo vya Uaminifu na Uadilifu na hivyo wanapaswa kuzingatia maelekezo na kufanya kazi kwa weledi  ikiwa ni pamoja na kuwahi katika vituo vya kupigia kura saa 12:00 asubuhi na kuzingatia muda maalumu wa kufunga vituo hivyo kama ilivyoelekezwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.

Naye Bi. Jakline Mbwango kwa niaba ya Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Monduli, amewataka Makarani hao kutokupokea wala kutoa zawadi au ahadi yoyote wakati wa uchaguzi, huku akiwasisitiza Makarani hao kufanya kazi zao za uongozaji na usimamizi katika uchaguzi Mkuu  kulingana na maelekezo ya Tume.

Teddy Sante, mmoja wa Makarani waongozaji wa Jimbo la Monduli, amesema, mafunzo aliyoyapata anaamini yamemsaidia kuongeza uelewa kuhusu namna bora ya kuwaongoza wapigakura na anaahidi kuwa atatekeleza majukumu yake kwa weledi na kwa mujibu wa maelekezo aliyopatiwa.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BIMA YA AFYA KWA WOTE MONDULI TUMEFIKIWA.

    January 19, 2026
  • VIKUNDI VINAVYOPEWA MIKOPO VISIWE CHECHEFU

    December 05, 2025
  • DC GLORIANA ASIKILIZA NA KUTATUA KERO NA CHANGAMOTO ZA KATA YA SEPEKO

    November 19, 2025
  • MWENYEKITI KIJIJI CHA MIGOMBANI KATA YA MAJENGO ARUDISHWA MADARAKANI

    November 18, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AERO88
  • YAMITOTO
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • YAMITOTO
  • Toto Togel
  • AXL777
  • AERO88
  • AXL777
  • Toto Slot
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto Online
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • slot gacor
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777