• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC GLORIANA AFUNGA MAFUNZO YA AWALI JKT KUNDI LA LAZIMA LA MUJIBU WA SHERIA

Posted on: September 24th, 2025

Vijana mnaohitimu mafunzo yenu leo, ni Imani yangu kuwa mmejifunza Uzalendo, Utii, Ukakamavu na mafunzo ya kijeshi kwa dhana ya Ulinzi na Usalama wa nchi yetu. Hivyo ni vema mkayatumie vizuri ili kutimiza lengo la Taifa la kuwaandaa kuwa Jeshi la akiba na kamwe msilaghaike kujiunga na vikundi vya uhalifu kwa kuwa mtakuwa  wasaliti wa Taifa ambalo limetumia gharama kubwa kuwaandaa.

Hayo yamesemwa leo Septemba 24, 2025 na Mhe. Gloriana Kimath Mkuu wa Wilaya ya Monduli wakati akifunga rasmi mafunzo ya awali ya JKT Kundi la lazima la mujibu wa Sheria la Vijana wa Oparesheni Nishati Safi,  yaliyofanyika katika Viwanja vya 839, JKT Makuyuni.

Naye Kamanda wa Kikosi cha 839 JKT Makuyuni Luteni Kanali Andrew Lwanda amesema kuwa vijana hao wameandaliwa vema na wamekuwa wasikivu na watii katika kupokea maelekezo waliyopewa. Huku akieleza kuwa lengo la mafunzo waliyoipata ni kuwawezesha kuwa wazalendo, shughuli za ujasiriamali na uzalishaji Mali sambamba na Ulinzi wa Taifa la Tanzania.

Akisoma Risala kwa niaba ya wahitimu wenzake, Kuluti Fatuma Abas Magati; ameeleza faida mbalimbali walizopata kutokana na mafunzo hayo lakini pia changamoto walizokabiliana nazo kuwa ni pamoja na uvamizi wa Wanyama pori, changamoto ya umeme na maji pamoja nayo changamoto ya miundombinu ya barabara kuu ya kuingia kikosini.

Kupitia Risala hiyo Kuluti Fatuma Abas ameomba kuwa, suala la uvamizi wa wanyamapori Serikali isaidie kuchimba bwawa kubwa la Maji mbali na Kikosi ili Wanyama wapate maji nakuacha kuingia kikosini,  kuweka sawa miundombinu ya barabara huku akitoa Rai kwa Serikali kuyafanya mafunzo hayo endelevu na kwamba wao wako tayari kutumika kwa kadri  Taifa litakavyoona inafaa.

Mhe. Gloriana ameagiza Meneja RUWASA,TARURA na Idara ya Wanyamapori kuhakikisha wanazifanyia kazi changamoto zote zilizoelezwa na kuahidi kufuatilia utekelezaji wake.

Kwa upande wake, Mwalu Gumada Ghushaha mhitimu na  mzawadiwa wa zawadi za jumla katika masomo ya darasani, zoezi la kulenga shabaha, usafi, medan na kwata ; ameeleza furaha yake kwa kuhitimu, nakueleza kuwa mazuri yote waliyojifunza watayafanyia kazi na kuahidi kuwa wazalendo popote watakapo kwenda.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BIMA YA AFYA KWA WOTE MONDULI TUMEFIKIWA.

    January 19, 2026
  • VIKUNDI VINAVYOPEWA MIKOPO VISIWE CHECHEFU

    December 05, 2025
  • DC GLORIANA ASIKILIZA NA KUTATUA KERO NA CHANGAMOTO ZA KATA YA SEPEKO

    November 19, 2025
  • MWENYEKITI KIJIJI CHA MIGOMBANI KATA YA MAJENGO ARUDISHWA MADARAKANI

    November 18, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AERO88
  • YAMITOTO
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • YAMITOTO
  • Toto Togel
  • AXL777
  • AERO88
  • AXL777
  • Toto Slot
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto Online
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • slot gacor
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777