• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC KIMANTA ASISITIZA MAMBO 3 AKIWA MONDULI.

Posted on: June 26th, 2020

Katika mkutano na baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Iddi Hassan Kimanta  kabala ya kupokea zawadi ya shuka la kimasai, rungu na pembe mbili za ng’ombe  kutoka kwa Katibu Taarafa ya Kisongo Ndugu Paul Kiteleki, RC amewashukuru watumishi na wananchi wa Wilaya ya Monduli kwa ushirikiano waliompatia pindi alipokuwa Mkuu wa wilaya hiyo. Kimanta alisema kuwa sio juhudi wala ujanja wake uliomfanya apate nafasi hiyo bali ni ushirikiano aliyopata kwa watumishi wenzake pamoja na kumtanguliza Mungu mbele kwa kila jambo.

Mkuu wa mkoa amesema  anamshukuru Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dt. John Pombe Magufuli kwa kumteua yeye mwana Arusha kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha. Hali kadhalika amemtaka Mkuu wa wilaya ya Monduli Kamishna msaidizi wa Polisi Edward Jonatham Balele kufanya kazi kwa kushirikiana na watu. RC ameyasema hayo wakati akimtambulisha Mkuu huyo wa Wilya ya Monduli kwa wafanyakazi wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli.

Kimanta aligusia pia suala la usimamizi wa fedha za ujezi wa miundombinu ya shule kiasi cha shilingi  Milioni 400 zilizochangwa na wananchi wa wilaya ya Monduli kuwa zisimamiwe vizuri. Alisema kuwa wakati atakapofanya ziara wilayani hapa ataanza na ukaguzi wa shule zote kuona  utekelezaji wa mradi huo. Hivyo amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Monduli Ndg, Stephen Ulaya asimamie utekelezaji  mapema iwezekanavyo.

Mheshimiwa Iddi Kimanta amekuwa mkuu wa wilaya ya Monduli tangu Mwaka 2016 hadi juni 2020 alipoteuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. uteuzi wa mkuu huyo wa  Mkoa wa Arusha uliambatana na uteuzi wa Mkuu wa wilaya ya Monduli, Mkuu wa wilaya ya Arusha na Mkururugenzi mtendaji wa jiji la Arusha.

 

E. msifuni.

A/TEHAMA


Matangazo

  • MACHAGUO YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • MAAGIZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 (JOINING INSTRUCTIONS) December 18, 2020
  • KUITWA KWENYE USAILI March 13, 2020
  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO VEO III June 17, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC KIMANTA ASISITIZA MAMBO 3 AKIWA MONDULI.

    June 26, 2020
  • MKUU WA WILAYA YA MONDULI MHE.ACP EDWARD JOTHAM BALELE APOKELEWA KWA KISHINDO MONDULI.

    June 26, 2020
  • MONDULI YAPAMBANUA JINSI ILIVYOJIPANGA KUKABILIANA NA COVID19

    April 07, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGIA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 MONDULI

    December 09, 2019
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

WANAWAKE WANUFAIKA NA MAMILIONI YA FEDHA KUTOKA HALMASHAURI- MONDULI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli