• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KUITWA KWENYE USAILI WA ANUWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI

16 March 2022

Mkurugenzi mtendaji(w) - Halmashauri ya willaya ya Monduli anawatangazia walioorodheshwa hapo chini kuitwa kwenye usaili wa nafasi za ajira ya muda  ya Anuwani za makazi na Postikodi. Vijana hawa watafanya kazi na majukumu kama ilivyooneshwa kwenye  tangazo la 22/2/2022 lenye kumb Na.     Hw/MON/C7/138. Hivyo kwa kuzingatia masharti ya tangazo hilo la ajira, wote walioorodheshwa majina yao wanapaswa kuja na vitu vifuatavyo;

  • Cheti cha kuzaliwa
  • Cheti cha kumaliza kidato cha nne (taaluma)
  • Simu janja yenye anroid toleo la 6 au juu (smartphone anroid v6 or above)

Usaili huu utafanyikia katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli saa 3:00 asubuhi kwa makundi mawili; kundi la kwanza ni tarehe 21/3/2022  kwa  wasailiwa kutoka  katika kata za taarafa ya Kisongo na kundi la pili ni tarehe 22/3/2022 kwa wasailiwa kutoka katika kata za   taarafa ya Manyara na Taarafa ya  Makuyuni.

Nawatakia maandalizi mema.

RAPHAEL JOHN SIUMBU

MKURUGENZI MTENDAJI (W),

MONDULI

BOFYA HAPA KUONA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI-MONDULI DC.pdf

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MHE. GLORIANA KIMATH AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    July 08, 2025
  • MONDULI YANG'ARA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA 2024 MA 2025

    July 08, 2025
  • MHE. FESTO SHEM KISWAGA AKABIDHI OFISI RASMI KWA MHE. GLORIANA KIMATH

    July 02, 2025
  • RC KIHONGOSI APOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI ARUSHA.

    June 30, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA VITENDO KWA DARASA LA NNE SHULE YA MSINGI MAZOEZI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli