TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI | |||||||||||||||||||
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli anawatangazia wafuatao kuja kwenye usaili tarehe 9.10.2017 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli kama ifuatavyo:- | |||||||||||||||||||
1. Tarehe 09.10.2017 Usaili wa Maandishi kuanzia saa 4:00 asubuhi.
|
|||||||||||||||||||
2. Tarehe 10.10.2017 na 11.10.2017 Kujieleza kuanzia saa 3:00 asubuhi.
|
|||||||||||||||||||
Tangazo hili pia linapatikana kwenye Website: www.mondulidc.go.tz.
|
BOFYA HAPA KUITWA KWENYE USAILI MONDULI.xlsx KUONA MAJINA YOTE
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli